Mpango wa somo: Kufundisha nadharia ya Planck pamoja na mnunurisho wa kifyonzicheusikwa kutumia mifano ya tabia nchi.
Mpango wa somo: kufundisha Kemia ya huluti za kaboni kwa kutumia mifano ya tabianchi
TROP ICSU in Kiswahili
TROP ICSU in Kiswahili ELIMU YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KATIKA MTALAA WA ELIMU DUNIANI KOTE. Mabadiliko ya tabia nchi ni mojawapo wa masuala muhimu katika kipindi cha sasa. Mabadiliko haya yanaathiri maendeleo endelevu na ya kiusawa ya nchi nyingi pamoja na raia wake. Ili pawe na utatuzi wa mabadiliko ya tabia nchi, watu wanafaa […]